Hiyo ni moja ya mapendekezo ambayo shirika hilo limetoa kupunguza ongezeko la ajali za barabara.
AMA yaitisha adhabu kali kwa madereva wanaotumia simu

Kutumia simu na kuendesha gari ni mchanganyiko mbaya Source: AAP
Chama cha matibabu cha Australia kinataka adhabu kali zitolewe kwa madereva wenye leseni zenye masharti wanaotumia simu za mkono wakiendesha gari.
Share
