Kilicho washangaza wahamiaji na watu walio hamia New South Wales kama wakimbizi, ni jinsi kampeni za uchaguzi huo zilianza naku kamilika bila wengi wao kujua kulikuwa na uchaguzi mhimu wanako ishi.
Bw Amedee ni kiongozi mstaafu wa jamii yawarundi wanao ishi New South Wales. Katika mazungumzo na SBS Swahili alifunguka kuhusu tofauti kati ya kampeni za uchaguzi ambazo ameshuhudia katika baadhi ya nchi aliko ishi, na kampeni za uchaguzi alizo shuhudia nchini Australia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.