SBS Swahili ilizungumza na nahodha wa timu ya raga ya Kenya yawachezaji saba kila upande Andrew Amonde, punde baada ya uzinduzi wa michuano ya raga ya HSBC World Sevens Series mjini Sydney
Bw Amonde alizungumzia umuhimu waku fanya maandalizi yakutosha kabla yakushiriki katika michuano hiyo pamoja na nishati inayo tolewa na mashabiki.
Kenya imeratibiwa kucheza katika kundi gumu sana, hata hivyo Bw Amonde amewahakikishia mashabiki kwamba, vijana wake wako tayari kukabiliana na wapinzani wao ipasavyo.
Zifuatazo ni timu ambazo zime ratibiwa kukichapa pamoja na Kenya katika kundi A: South Africa, England, Kenya, Japan
Share
