Haijulikani sana kuwa, kikosi chakulinda amani kilitumia gitaa na utamaduni badala ya silaha, katika kisiwa cha pasifiki kumaliza vita vya wenyewe kwa wenyewe.
Hadithi ya vita vya wenyewe kwa wenyewe, vilivyo isha kwa amani baada ya miaka 10 nchini Bougainville, hadithi hiyo ina elezwa kupitia makala ya video kwa jina la Soldiers Without Guns, ama kwa tafsiri wanajeshi ambao hawana bunduki.
Kisiwa cha Bougainville kitafanya kura ya maoni, kuamua kama watajipa uhuru kutoka Papua New Guinea, tarehe 17 Oktoba mwaka huu.
Share






