Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Kisa kingine cha ubaguzi wa rangi dhidi ya mchezaji waki Asili cha zua hasira

Eddie Betts apongezwa na wenzake baada yaku funga goli
Eddie Betts apongezwa na wenzake baada yaku funga goli Source: AAP

Baba ya shabiki wa mchezo wa AFL aliye mrushia ndizi mchezaji waki Aboriginal Eddie Betts uwanjani, ame tupilia mbali madai kuwa tendo hilo lilikuwa laubaguzi wa rangi.


Published

Updated

By SBS Swahili

Presented by Gode Migerano

Source: SBS



Share this with family and friends


Baba ya shabiki wa mchezo wa AFL aliye mrushia ndizi mchezaji waki Aboriginal Eddie Betts uwanjani, ame tupilia mbali madai kuwa tendo hilo lilikuwa laubaguzi wa rangi.


Tendo hilo tata lime lime zua mwito kwa mashabiki wa timu hiyo wapewe mafunzo ya uelewa wa tamaduni zaki asili na viongozi wa AFL wachunguze uwezekano waku punguza alama za timu husika iwapo matendo ya mashabiki wayo haya ambatani na maadili ya mchezo huo.

 

 

 


Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now