Wachezaji wa timu ya soka ya DR Congo wa NSW wamekuwa marafiki wa ukame wa ushindi, katika kombe la ANSA kwa muda mrefu. SBS Swahili ilihudhuria fainali yakusisimua ya kombe hilo, ambako tulizungumza na mashabiki pamoja na waandalizi wa kombe hilo. .
Share






