Ila watalaam katika sekta hiyo wame sema baadhi ya ajira hizo zita badilishwa na nafasi mpya zitakazo ibuka katika sekta husika.
Kwa hiyo shule za Australia zina fanya maandalizi gani, kuwatayarisha wanafunzi kwa ajira za siku za usoni?

Wanafunzi wa shule ya Barker College, wafanyia roboti waliyo buni majaribio Source: SBS
Kwa hiyo shule za Australia zina fanya maandalizi gani, kuwatayarisha wanafunzi kwa ajira za siku za usoni?

SBS World News