Arsenal yatoa funzo la soka Australia
Bw Hillan na Eric katika uwanja wa ANZ waliko hudhuria mazoezi ya Arsenal FC Source: Picha: SBS Swahili
Mashabiki wa Arsenal FC walijitokeza kwa ma mia yama elfu katika uwanja wa michezo wa ANZ, kutazama mechi za vigogo hao wa ligi kuu ya Uingereza mjini Sydney. SBS Swahili ilihudhuria mazoezi hayo, ambapo mashabiki wali alikwa naku zungumza na baadhi yao.
Share




