Ina aminiwa Australia ili pona madhara makubwa ya shambulizi ambalo, lime zima mifumo ya kompyuta za hospitali, mifumo ya reli na shule barani Ulaya.
Kampuni 12 za Australia, za athiriwa kwa shambulio la ransomware
Mfano wa shambulio la ransomware, nchini Taiwan Source: Picha: AAP
Idadi ya kampuni nchini Australia ambazo zime ripoti kuwa zime athiriwa na shambulizi la mtandaoni ime fika kumi na mbili, wakati mamlaka inaendelea kuchunguza chanzo cha shambulizi hilo ambalo lime pewa jina la kimombo la 'WannaCry' ransomware.
Share




