SBS ilizungumza na mtaalamu wa masuala ya fedha Bwana Juma Rashid ambaye anatufafanulia zaidi nini maana ya kuporomoka kwa uchumi na jinsi gani nchi au mwananchi mmoja mmoja atakavyoathirka.
Waweza kushiriki nasi kwa kugonga hapa kusikiliza na pia kutoa maoni yako.