Moja ya mataifa yanayo shiriki katika kombe hilo ni Sudan Kusini, ambayo inavijana wengi wenye vipaji na moyo wakujituma katika mechi.
Nahodha wa Sudan Kusini Athiei, alieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS wakati wa sherehe ya uzinduzi wa michuano hiyo kuhusu maandilizi ya timu yake, na alizungumzia pia hoja kuhusu 'hofu' ambayo timu nyingi hukabili wanapo ratibiwa kucheza dhidi yao.