Wasi wasi kuhusu mapigano mapya nchini Sudan Kusini ume tawala ajenda ya kongamano la Umoja wa Afrika nchini Rwanda.
Wasi wasi huo ume jiri wakati shirika la Umoja wa Mataifa ume kariri mwito wa marufuku ya uuzaji wa silaha kwa taifa hilo changa zaidi duniani.
Share
