Australia yaomba msamaha kwa waathirika wa unyanyasaji wa kijinsia utotoni

Prime Minister Scott Morrison hugs a child-abuse victim Source: AAP
Waziri Mkuu Scott Morrison ameomba msamaha wa kitaifa kwa maelfu ya waathirika wa unyanyasaji wa kijinsia nchini kote. Mamia ya waathirika walikuwa katika mji wa Canberra kusikia hotuba, ambapo Bwana Morrison aliwaambia waathirika sasa wameaminiwa na taasisi zimeshindwa. Frank Mtao anakuletea taarifa zaidi...
Share




