Ila hiyo siku kuu ya Australia, ina adhimisha nini haswa, na pingamizi dhidi ya siku hiyo ni nini?
Australia Day ni nini, na nikwanini ina utata?

Waandamanaji wa siku ya uvamizi waonesha hisia zao katika mtaa wa mji wa Adelaide, Australia Source: AAP Image/Bianca De Marchi
Tarehe 26 Januari ndiyo siku kuu ya taifa ya Australia.
Share