Australia ina jiandaa kukabiliana na tisho za ugaidi pamoja na uhalifu kwaku tumia bunduki nzito nzito.
Kuanzia leo, vikosi maalum katika jeshi la polisi la NSW, wata tumia bunduki aina ya Colt M-4's, kama sehemu muhimu ya mbinu zaku linda jamii.
Hatua hiyo ime jiri baada yaku wasilishwa kwa sheria mapema mwaka huu, ambazo zili waongezea mamlaka polisi.
Share






