Australia haita fuata nyayo za Marekani mjini Jerusalem

Sherehe ndani ya bunge la taifa baada ya ndoa za wapenzi wa jinsia moja kukubaliwa kikatiba Source: AAP
Wiki hii imekuwa yaki historia katika siasa ya Australia, kura ya maoni kwa swala laku idhinisha ndoa za wapenzi wa jinsia moja ili toa matokeo yaliyo ipa kambi ya ndio ushindi mkubwa, na baada ya wiki chache, bunge la taifa lime tekeleza wajibu wayo, kwaku pitisha sheria ambayo ime idhinisha ndoa hizo kikatiba. SBS Swahili ime chunguza taarifa zilizo tawala vichwa vya habari nchini wiki hii katika makala haya.
Share
