Wa Australia wajeruhiwa katika shambulizi mjini London
Maafisa wa jeshi la polisi wapiga doria katika eneo la shambulizi mjini London Source: Picha: AAP
Masaa machache baada ya shambulizi lililo sababisha vifo vya watu 10 na wengine zaidi kujeruhiwa, SBS Swahili ilizungumza na mwandishi wa habari anaye ishi London, kuhusu hali ya wakazi na mji wa London baada ya shambulizi hilo.
Share




