SBS Swahili ilizungumza na Mariam Maneneka, mwanzilishi wa shirika la msaada Victorious Little Survivors, lenye makao makuu mjini Brisbane, Australia
Shirika hilo jipya lita toa misaada tofauti kwa watoto wenye ulemavu wa ngozi nchini Tanzania.
Wengi wa watoto hao hutengwa na jamii zao, wengi wao wakihofia usalama wao, kwa sababu ya imani kuwa viungo vya miili yao vina weza tumiwa kutengeza tiba za kienyeji.
Bonyeza hapo juu kwa makala kamili.
Share
