Matokeo ya uchunguzi huo yamejiri wiki chache tu, kabla ya uchaguzi mkuu wa shirikisho, na wakati wito unakuja toka pande zote za siasa kuongeza kiwango cha malipo ya Newstart.
Soko binafsi la Australia lakukodisha 'linafeli'

Source: Getty Images
Uchunguzi mpya wa makazi umeonesha kuwa soko binafsi la upangaji la Australia, lina 'wafeli' watu wenye mapato ya chini, pamoja na watu ambao wanapokea msaada wamalipo kutoka serikali.
Share