Ila vikwazo hivyo, haviku wazuia mamia ya watu kutoka asili tofauti, kushiriki katika viwanja vya vita.
Wanajeshi wa Australia ambao hawakuwa na asili ya ulaya, walio shiriki katika vita vya kwanza vya dunia

Balbir Singh Banwait atazama hati za marehemu babake Source: SBS
Sheria zilizo wekwa mwanzo wa mwaka wa 1900, ilifanya iwe vigumu kwa wa Australia ambao hawana asili ya ulaya, kusajiliwa kuhudumu katika vita vya kwanza vya dunia.
Share




