Kundi la Wanawake wenye asili ya Afrika (AWG) lime adhimisha miaka 11 yahuduma kwa wanawake waki Afrika wanao ishi NSW.
Mwandishi wa SBS Swahili RJ Muthoni, alizungumza na mwanzilishi wa kundi hilo pamoja na baadhi ya wanawake walio hudhuria tukio hilo.
Share
