Chama Cha Mapinduzi (CCM) kime ongoza Tanzania, tangu nchi hiyo ya Afrika Mashariki ilipopata uhuru.
Hata hivyo katika kila uchaguzi vyama vya upinzani nchini Tanzania, vime kuwa viki jiongozea umaarufu bila kufikia lengo lakuondoa CCM madarakani.
Je Tanzania iko tayari kuongozwa na chama ambacho si CCM?
SBS Swahili ilijadili swala hili na Bw Jay pamoja na Bw Denis, wawili hao wakiwakilishi maoni pamoja na hisia mseto za watanzania kwa swala hili.
Share






