Katika bajeti hiyo kuna ahadi zamatumizi makubwa katika sehemu nyingi za sera, na ahadi chache au uhaba wa ahadi katika sehemu zingine.
Bajeti ya 2021-22 yapokewa kwa hisia mseto

Waziri Mkuu Scoot Morrison ampongeza Mweka hazina Josh Frydenberg, baada ya mweka hazina kutoa bajeti yake ya tatu ya taifa. Source: AAP
Bajeti ya taifa iliyo tangazwa na serikali imelakiwa kwa hisia mseto, licha ya lengo layo kuwa ni kusaidia Australia katika mchakao wa uponaji kutoka mtikisiko wa uchumi uliosababishwa na coronavirus.
Share