Hatua hiyo imefikiwa zikiwa zimepita siku 23 tu, tangu Balozi Karume alipopewa barua ya onyo Juni 15, kabla ya juzi kuibuka tena akisisitiza kauli zake kwamba hakuna demokrasia ndani ya CCM.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili kutoka kwa mwandishi wetu Jason Nyakundi.