Licha ya mamlaka husika kuchukua hatua zakuhakikisha usalama wa raia, bado kuna wasi wasi mwingi na raia wakigeni nchini humo wameshauriwa na balozi zao kufanya tahadhari zaidi nakuepuka sehemu za mikusanyiko ya watu wengi.
Balozi za Ulaya za toa onyo kuhusu uwezekano wa shambulizi lakigaidi Kenya

Wanajeshi wafanya msako ndani ya soko la Westgate mjini Nairobi, baada ya shambulizi lakigaidi. Source: Getty
Hali ya tahadhari ina endelea kuzingatiwa katika miji kadhaa nchini Kenya, baada ya balozi za Ulaya kutoa onyo kuhusu uwezekano wa shambulizi lakigaidi nchini humo.
Share