Hii ni baada ya Simba Sports Club kutawala ligi hiyo kwa misimu kadhaa, ambapo imeshinda ligi kuu ya mpira wa miguu msimu mmoja baada ya mwingine.
Ila msimu huu, vijana wa Young Africans Sports Club wame onesha umahiri wao na kufikia sasa, hawaja poteza hata mechi moja katika ligi kuu ya mpira wa miguu nchini Tanzania.
Mtayarishaji wetu wa michezo Frank Mtao, alitufafanulia jinsi vijana wa Yanga wanafanya kumaliza ukame wa ushindi ambao ume wakabili kwa misimu kadhaa. Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.