Timu kadhaa zimepiga hatua moja karibu kuingia katika robo fainali wakati zingine zimejipata katika njia panda ambapo matokeo yoyote yasiyo ushindi yanaweza maanisha mwisho wao katika michuano hiyo.
Bw Benin ni mwalimu wa timu ya Jamhuri ya Congo inayo shiriki katika michuano hiyo. Alizungumza na SBS Swahili punde baada ya mechi yake dhidi ya bingwa watetezi Sudan Kusini, ambapo aliweka wazi anacho tarajia benchi lake la ufundi lifanya kuhakikisha timu yake inafuzu kwa robo fainali.
Bonyeza hapo juu kwa mahojiano kamili.