Berry Prince: "Wazazi saidieni watoto kufuato ndoto zao"
Msanii wakizazi kipya Berry Prince Source: SBS Swahili
Jamii nyingi kutoka Afrika huwa na matarajio makubwa kutoka kwa wazazi kwa wanao, kwa kile ambacho wanastahili jifunza shuleni pamoja na aina ya kazi ambazo watoto hao wanastahili fanya.
Share




