Ulinganishaji bora wa ajira za wahamiaji, unaweza piga jeki uchumi wa Australia kwa bilioni $6 kila mwaka

mfanyakazi ambaye ni mhamiaji, aunganisha vyuma kiwandani Source: AAP
Utafiti mpya umepata kuwa kushughulikia uhaba wa usawa kati ya ujuzi wa wahamiaji na ajira ambazo wanafanya kwa sasa, inaweza piga jeki uchumi wa Australia kwa dola bilioni sita kila mwaka.
Share