Biashara ndogo zakaribisha sherehe za Ramadan bila vizuizi vya UVIKO-19

Bango la Ramadan na muumini akisali

Bango la Ramadan na muumini akisali Source: Courtesy of MA

Kula, kusali na kuchangia upendo ndivyo jamii zawa Islamu wa Australia, wanasherehekea mwezi mtukufu wa Ramadan mwaka huu.


Ni mara ya kwanza katika miaka mbili wataweza kusherehekea mwezi mtukufu bila vizuizi vya UVIKO-19.

Kalenda ya ki Islamu hufuata awamu za mwezi, zinazo julikana kwa kawaida kama mzunguko wa mwezi.

Matokeo yake ni kwamba, mwezi Mtukufu wa Ramadan huanza takriban siku 10 mapema kila mwaka katika kalenda ya Gregorian.

 


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service