Biashara ndogo zinazo tafuta msaada, zasubiri tangazo la bajeti kwa hamu

Biashara ndogo zaweka wazi maombi yao kwa bajeti ya taifa Source: SBS News
Biashara ndogo zinaweza tarajia kupokea msaada wakifedha kutoka bajeti ya shirikisho jumanne ila, wengi wanajiuliza kama msaada huo utakuwa wakutosha.
Share