Bingwa watetezi DR Congo, wakabiliana na Zimbabwe katika michuano ya kombe la Afrika la Sydney, NSW 2019 Source: ANSA African Cup2019
DR Congo ili ingia katika robo fainali ya michuano ya soka ya jamii zaki Afrika zinazo ishi mjini Sydney, New South Wales, ikiwa na matumaini yaku fuzu kwa nusu fainali kutetea ubingwa wake.
DR Congo ili ingia katika robo fainali ya michuano ya soka ya jamii zaki Afrika zinazo ishi mjini Sydney, New South Wales, ikiwa na matumaini yaku fuzu kwa nusu fainali kutetea ubingwa wake.
Hata hivyo, vijana wa timu ya Mali walikuwa na mipango tofauti kama vile Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilivyo gundua tulipo hudhuria mechi hiyo, nakuzungumza na mashabiki na wachezaji wa DR Congo punde baada ya mechi hiyo kukamilika.