Moja ya matukio mhimu katika jamii yawatu wenye asili ya Afrika, ni michuano ya mpira wa miguu kwa jina la kombe la Afrika ambalo kwa mwaka mwingine klabu ya Western Sydney Wanderers watakuwa wenyeji wa michuano hiyo.
Katika mazungumzo maalum, Idhaa ya Kiswahili ya SBS ilizungumza na mwalimu wa timu ya Tanzania itakayo shiriki katika michuano hiyo itakayo anza Jumamosi 20 Novemba 2021. Je! vijana wa Tanzania wata chukua hatua moja zaidi mbele katika michuano hiyo kuliko mwaka jana?
Bonyeza hapo juu kwa taarifa kamili.