Matumaini ya timu ya mpira wa miguu ya jamii yawatanzania wanao ishi Sydney, katika kombe la Afrika yame gonga mwamba.
Tanzania ili ingia dimbani dhidi ya Sierra Leone, katika mechi ambako walihitaji kushinda mechi kwa ajili yakuendelea mbele katika hatua ya robo fainali.
Punde baada ya mechi hiyo Idhaa ya Kiswahili ya SBS, ilizungumza na mwalimu wa Tanzania Bw Bonfils ambaye aliweka wazi yaliyojiri katika mechi hiyo yakufa nakupona.
Share






