Usiku wa zulia jekundu Sydney

Bango la tamasha ya zulia jekundu ya jamii yawa Tanzania wa NSW Source: Tanzania Community of NSW
Jamii yawa Tanzania wanao ishi NSW, wana andaa tamasha Jumamosi 18 Novemba 2017 mjini Sydney, NSW. Mwenyekiti wa jamii hiyo Frank Mtao, ame eleza SBS Swahili kuhusu baadhi ya miradi ambayo jamii hiyo changa inafanya.
Share
