Mtoto mmoja kati ya watoto wanne wenye ulemavu, hawa ruhusiwi katika shule za kawaida nchini Australia.
Ila wataalam wa elimu ya watoto wame eleza makala ya The Feed ambayo hupeperushwa kwenye runinga ya SBS kuwa, wengi wa watoto hao, wametambuliwa kimakosa kuwa wana ulemavu wa akili, kupitia mitihani isiyo faa aina ya IQ, ambayo hufanywa na idara za elimu.
Share






