Katika mazungumzo maalum na SBS Swahili, alifunguka kuhusu kilicho mshawishi kuwa bondia. Alitueleza pia kuhusu maandalizi ya pambano lake la 16 Septemba 2023 katika ukumbi wa Melbourne Pavilion.
Bw Brian ame waomba wakenya na wanachama wa jumuiya yawa Afrika wajitokeze kwa wingi kumushabikia.
Bonyeza hapo juu kwa taarifa zaidi.