Bryan Henry ni mmoja wa wajasiriamali katika sekta hiyo, alitembelea Studio za SBS ambako alieleza Idhaa ya Kiswahili kuhusu kazi ya upromota, changamoto zake, mafanikio yake pamoja na tamasha anayo andaa mjini Sydney, ya msanii wa nyimbo za injili kutoka Kenya Emmy Kosgei.
Bryan:"Karibuni tusherehekee mziki wa dada yetu Emmy Kosgei"

Bryan Henry afunguka kuhusu kazi ya upromota Source: SBS Swahili
Sekta ya burudani ina endelea kukuwa nchini Australia, na waAfrika nao hawaja achwa nyuma katika sekta hiyo.
Share