Mweka hazina Josh Frydenberg na Waziri Mkuu Scott Morrison waanza kuuza bajeti ya taifa katika vyombo vya habari Source: AAPMweka hazina wa taifa Josh Frydenberg, alitoa bajeti yake ya kwanza ya mwaka wa biashara wa 2019-2020.
Published
Updated
By Amy Hall
Presented by Gode Migerano
Source: SBS
Skip to podcast episode content
Share this with family and friends
Mweka hazina wa taifa Josh Frydenberg, alitoa bajeti yake ya kwanza ya mwaka wa biashara wa 2019-2020.
Akitumia mandhari ya, "Uchumi imara na siku za usoni salama", bajeti ya mwaka huu inatoa ziada ya kwanza katika muda wa miaka 12.
Ila baadhi ya vikundi vya jamii vimesema kwamba, utabiri wa ziada ya dola bilioni saba, zingetumiwa kuwekeza katika huduma zingine muhimu.