Ni miongoni mwa vikao vya mwisho kabla serikali ya Labor, itoe bajeti yake ya kwanza wakati ambapo waziri huwekwa chini ya uchunguzi mkali kwa tangazo lake.
Serikali inatarajiwa kuwasilisha muswada wake wa tume ya uadilifu ya shirikisho bungeni wiki ijayo.