Queensland ni nyumbani kwa jamii yawarundi ambayo ni changa lakini pia ni jamii mahiri.
Vijana katika jamii hiyo wamechukua hatua yakushiriki katika maswala ya jamii hiyo pamoja, nakuandaa miradi yakuwasaidia vijana wenzao kupitia shirika la vijana la ABCQ Youth.
Gerase na Jonathan ni wanachama mahiri wa chama cha vijana cha ABCQ Youth, wawili hao walieleza Idhaa ya Kiswahili ya SBS, kuhusu miradi wanayo fanya kuwasaidia vijana wenzao kupata mafanikio katika maisha yoa jimboni Queensland.
Share





