Jaribio la kwanza lakuunda chama chaku wakilisha wanajumuiya hao, lilifeli zaidi ya miaka 6 iliyopita.
Hata hivyo wanajumuiya hao wali eleza SBS Kuwa bado wana nia yaku na chama kitakacho wawakilisha.
Wikendi iliyo pita, SBS Swahili ili alikwa na baadhi ya wanajumuiya, kuhudhuria mkutano ambao, ulijawa matumaini yakuunda chama hicho. Bonyeza isikie hali ilivyo kuwa katika mkutano huo.
Share
