Watch FIFA World Cup 2026™

LIVE, FREE and EXCLUSIVE

Mshauri Mkuu wa Rais wa Burundi apona shambulizi dhidi ya maisha yake

Willy Nyamitwe: Mshauri Mkuu wa Rais wa Burundi na kiongozi wa taarifa namawasiliano
Willy Nyamitwe: Mshauri Mkuu wa Rais wa Burundi na kiongozi wa taarifa namawasiliano Source: Willy Nyamitwe/Twitter

Imethibitishwa kuwa mshauri mkuu wa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambaye pia ndiye kiongozi wa vyombo vya habari, mawasiliano ya taarifa Willy Nyamitwe, amepona jaribio dhidi ya maisha yake, ila baadhi ya walinzi wake walijeruhiwa namwingine amefariki katika shambulizi hilo.

Published

Updated

By SBS Swahili

Source: SBS

Share this with family and friends

Imethibitishwa kuwa mshauri mkuu wa Rais wa Burundi Pierre Nkurunziza ambaye pia ndiye kiongozi wa vyombo vya habari, mawasiliano ya taarifa Willy Nyamitwe, amepona jaribio dhidi ya maisha yake, ila baadhi ya walinzi wake walijeruhiwa namwingine amefariki katika shambulizi hilo.

Bw Nyamitwe amethibitisha kupitia Twitter kuwa yuko salama na anaendelea kupokea matibabu katika hospitali moja ambayo haija tambuliwa.

SBS Swahili ilizungumza na mwandishi wetu Ramadhani Kibuga ambaye alitupasha taarifa zaidi kuhusu tukio hili kutoka Bujumbura, Burundi.

Follow SBS Swahili

Download our apps

Listen to our podcasts

Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service

Stream now