Shirika la ASSIDA hutoa huduma kwa jamii zawakimbizi na wahamiaji mjini Sydney, Australia.
Bw Theophile Elongo ni mwanzilishi na mkurugenzi mkuu wa ASSIDA, katika mazungumzo maalum na SBS Swahili aliweka wazi jinsi jamii inaweza faidi kupitia huduma za shirika.
Kwa maelezo zaidi kuhusu huduma za ASSIDA, tembelea tovuti hii: www.assida.net
Share






