Bw Dutton ame ongezea kuwa, hatakama kuna takriban idadi ya watu 400 wanoa chunguzwa na polisi pamoja na vyombo vya ujasusi, taarifa kutoka umma inahitajika kuzuia mashambulizi ya ghafla.
Wito wa tolewa kwa jamii isaidie kuzuia mashambulizi ya ugaidi

Waombolezaji watoa heshima zoa kwa Sisto Malaspina, nje ya mgahawa wa Pellegrini's Espresso Bar, Bourke Street, Melbourne. Source: AAP
Wazuru wa maswala ya ndani Peter Dutton amesema jamii lazima isaidie mamlaka kuzuia mashambulizi ya ugaidi, hata kama mwanaume aliye husika katika shambulizi lililo sababisha kifo katika mtaa wa Bourke mjini Melbourne, ijumaa iliyo pita alikuwa akifuatiliwa na mamlaka.
Share




