Jean Paul alipoteza familia yake yote katika mauaji yakimbari ya 1994 nchini Rwanda, miaka michache baadae aliwashangaza wengi kwa kumsamehe mtu aliye angamiza familia yake nawakawa marafiki wa karibu.
Bw Jean Paul, alitembelea SBS Swahili nakuchangia hadithi yake nasi.
Share
