Moto wa angamiza familia ya mkenya nyumbani mwao

Marafiki na familia wa aga Anne Muhoro na watoto wake wawili walio fariki katika moto ulio choma nyumba yao

Marafiki na familia wa aga Anne Muhoro na watoto wake wawili walio fariki katika moto ulio choma nyumba yao Source: ABC News: Jake Evans

Polisi wa ACT wana endelea kuchunguza kilicho sababisha vifo vya Anne Muhoro na watoto wake wawili Ezvin na Furaha ambao waligunduliwa ndani ya nyumba yao iliyo ungua.


Wanajamii kutoka mashariki ya Afrika wanao ishi ACT, wana endelea kuomboleza vifo vya marafiki wao.

Wandani wa wenda zao wame sema wali ishi maisha mazuri na yenye furaha.

SBS Swahili ilizungumza na Mwenyekiti wa shirika linalo wakilisha watu kutoka Mashariki ya Afrika mjini Canberra (EACA) Bw Godfrey Muthomi, kuhusu madhara ya janga hilo katika jamii.


Share
Follow SBS Swahili

Download our apps
SBS Audio
SBS On Demand

Listen to our podcasts
Independent news and stories connecting you to life in Australia and Swahili-speaking Australians.
Ease into the English language and Australian culture. We make learning English convenient, fun and practical.
Get the latest with our exclusive in-language podcasts on your favourite podcast apps.

Watch on SBS
SBS World News

SBS World News

Take a global view with Australia's most comprehensive world news service