Wiki hii Scott Morrison alirejea bungeni kwa mara ya kwanza akiwa waziri kuu, baada yakushinda uchaguzi wa kiongozi wa chama mwezi jana agosti.
Na licha ya juhudi za serikali ya mseto kujaribu kuonesha umoja, chama cha Liberal kime kumbwa kwa mgawanyiko kuhusu idadi ya wanawake ndani bungeni, pamoja na madai ya unyanyasaji ndani ya chama hicho.
Share






