Wito huo wa kiongozi wa upinzani ulifuata wito wa mbunge wa chama cha Greens Adam Bandt, kutoa muswada wa tangazo la dharura ya mazingira, ndani ya nyumba ya wawakilishi ila, muswada huo ulishindwa kwa kura 72 zilizo upinga dhidi ya kura 65 zilizo uunga mkono.
Canberra: tathmini ya wiki hii 18 Oktoba 2019

Federal Treasurer Josh Frydenberg Source: AAP
Imekuwa wiki nyenye shughuli nyingi katika siasa nchini Australia, mabeki manne makubwa nchini yanakabiliwa kwa uchunguzi, mjadala unaendelea mjini Canberra kuhusu jibu kwa kasi ya chini ya ukuaji wakimataifa, pamoja na uwepo wa maswala ya ziada kuhusu sera za mazingira.
Share