Mwanasheria mkuu aliamuru uchunguzi kwa madai ya utovu wa nidhamu katika kampuni ya Crown Casino, na chama cha Liberal, kilimaliza wiki kwakujaribu kuzima madai kuwa, chama hicho kina tatizo na wanawake.
Canberra: tathmini ya wiki hii 2 Agosti 2019

Mbunge wa Nationals Barnaby Joyce ndani ya nyumba ya wawakilishi, akishiriki katika mjadala. Source: AAP
Vikao vya wiki ya mwisho vya bunge kabla ya mapumziko ya kati ya majira ya baridi, vilitawaliwa kwa madai ya ufisadi na utovu wa nidhamu.
Share